
Mchezaji wa Manchester United Marcus Rashford. Picha;Hisani

Picha;Hisani
Na Blessing Tamara,
Klabu ya Aston Villa inakaribia kufikia makubaliano na Manchester United kwa ajili ya kumsajili kwa mkopo Marcus Rashford.
https://x.com/FabrizioRomano/status/1885667866579529803